HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
TANGAZO
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM INATARAJIA KUPANGISHA VIBANDA VYA BIASHARA NAMBA 03, 18, 46, 60 NA 63 NA KUBADILISHA MAJINA KWENYE MIKATABA KATIKA VIBANDA VYA BIASHARA VINAVYOZUNGUKA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN WILIAM MKAPA.
Maombi ya vibanda yanatakiwa kuwasilishwa na vigezo vifuatavyo:-
Kwa wafanya biashara mnaotaka kubadilishiwa majina kwenye mikataba yenu mnatakiwa kuwasilisha maombi yenu kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:-
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22/11/2019 saa 8.00 mchana. Tafadhali zingatia kuwa maombi yatakayoletwa baada ya muda tajwa hapo juu hayatafanyiwa kazi.
Nakutakia utekelezaji mwema.
Sipora J. Liana
MKURUGENZI WA JIJI
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 9084
Simu ya mezani: +255 22 2123346
Namba ya Mkononi: 0715046974
Barua Pepe: cd@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.