Watumishi Portal inamwezesha mtumishi wa umma kuweza kupata Taarifa mbalimbali za Kiutumishi zikiwemo; tarehe ya kupandishwa cheo, taarifa zilizopo katika Hati ya Malipo ya Mshahara.
Kupitia Watumishi Portal, mtumishi wa umma anaweza pia kutuma Lalamiko au Hoja kwa njia ya mtandao na Kupata Majibu kwa njia ya Mtandao.
Huduma ya Kubadilishana Vituo inamsaidia mtumishi kutoa na kupata taarifa za Watumishi wenye cheo chake wenye nia ya Kubadilishana kituo cha Kazi.
Tembelea anuani "link" http://watumishiportal.utumishi.go.tz/index.php ujisajili.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.