Kitengo cha Sheria na Usalama ni moja kati ya vitengo vinne vinavyowajibika moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa Jiji na majukumu yake makuu ni kuishauri Halmashauri ya Jiji kuhusiana na masuala ya kisheria, kutetea maslahi ya Halmashauri ya Jiji na kuandaa mikataba na makubaliano mbalimbali yanayohusu masuala ya kisheria hususani katika :-
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.