• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Bilioni 4.1 kujenga Shule ya Sekondari Kitunda Relini

Posted on: November 29th, 2024

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salam imetenga jumla ya Shilingi bilioni 4.1 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Kitunda Relini ambapo shilingi million 528 ni fedha kutoka Mpango  wa kuboresha elimu ya Sekondari (Secondary Education Quality Improvement Program SEQUIP) huku zaidi ya Bilioni 3 ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu na mapato ya ndani ya Halmashauri.

Hayo yamebainishwa leo Novemba 29, 2024 na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Ndg. Elihuruma Mabelya wakati wa  hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa Shule hiyo iliyofanyika katika Kata ya Kitunda Jijini Dar esSalaam .

 Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kuwa mwadilifu kwa kuhakikisha anakamilisha mradi kwa wakati huku akimisisitiza ashirikiane na wataalamu kutoka Halmshauri ya Jiji la Dar es Salaam katika kazi ili kuleta matokeo yenye tija kwa maslahi ya Wananchi.

Aidha Mhe. Kumbilamoto amemshukuru Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fedha anazoendelea kutoa kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo huku akiwahakikishia wananchi kuwa mradi utakamilika kwa muda uliopangwa na kwa ubora uliokusudiwa.

 Kwa upande wake Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mhe. Jerry William Silaa  ametoa wito kwa Mstahiki Meya na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuweka mifumo bora ya kumsimamia mkandarasi ili kazi ya ujenzi ikamilike kwa wakati na ubora ili wanafunzi waanze kutumia Shule hiyo na kupunguza msongamano darasani huku akimtaka mkandarasi aliyepewa tenda kufanya kazi hiyo kwa bidii na kwa viwango ili kuleta matokeo yenye tija kwa maslahi ya wananchi na Taifa kwa ujumla.

 Awali akizungumza wakati wa hafla hiyo Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Ndg. Elihuruma Mabelya Amesema “Serikali ya Awamu sita chini ya Rais Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan inatuletea pesa nyingi katika Halmashauri yetu ni wajibu wetu kuhakisha Fedha zinatumika kwa kazi iliyokusudiwa kwa maendeleo ya jamii yetu."

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.