• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

DC MPOGOLO AWAHAKIKISHIA WANANCHI ULINZI NA USALAMA KATIKA VITUO VYA KUJIANDIKISHA

Posted on: October 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewasihi Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura la uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani vituo vyote ni shwari ulinzi na usalama umeimarishwa na hakuna mtu yoyote wakuleta vurugu.

Mhe. Mpogolo ametoa wito huo leo Octoba 11, 2024 wakati akizindua zoezi la uandikishaji wa daftari la mpiga Kura la uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Karume Kata ya Ilala Jijini Dar es Salam.

Akizungumza na Wananchi waliojitokeza kwenye zoezi hilo Mhe. Mpogolo ameeleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Ilala imejipanga vyema kuhakikisha ulinzi unaimarika katika vituo vyote vya kujiandikishia.

"Nitumie nafasi hii kupongeza watu wote waliojitokeza katika kujiandikisha mimi na Viongozi wezangu tumefanya ziara na tunaendelea  kufanya ziara katika vituo vyote vya kujiandikishia ambapo tumeona mutikio ni mkubwa sana na muitikio huu unaonesha jinsi gani mmewaelewa viongozi wenu pamoja na juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora kwa wakati na mpo tayari kuwapigia kura ifikapo Novemba 27, 2024  hivyo niwahakikishie ulinzi na usalama katika vituo vyote vya kujiandikisha na katika kipindi chote cha zoezi la kujiandikisha". Amesisitiza Mhe. Mpogolo.

Sambamba na hilo Mhe. Mpogolo ameeleza kuwa vituo vya kujiandikishia ni vituo zaidi ya 454 katika mitaa 159 ya Jiji la Dar es Salaam ambapo vituo vyote hali ni shwari na salama huku akiwataka wananchi hao kuwahamasisha wengine kujitokeza kujiandikisha pamoja na kuwasihi watu ambao wana viashiria vya uvunjifu wa amani kuacha mara moja kwani watachukuliwa sheria badala yake kila mmoja atekeleze wajibu wake katika kufanikisha zoezi hilo la uandikishaji.

Announcements

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2025 July 08, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA February 28, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • Halmshauri ya Jiji la DSM yaibuka kidedea Maonesho ya Nanenane

    August 08, 2025
  • DC Mpogolo atembelea banda la Jiji la DSM Maonesho ya Nanenane

    August 08, 2025
  • Fahamu jinsi asali inavyoweza kusaidia afya ya uzazi

    August 06, 2025
  • Kilimo cha Pilipili Hoho na nyanya kwa kutumia kitalu nyumba kinavyoweza kukutajirisha

    August 04, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.