• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Madiwani Manispaa ya Singida wafurahishwa na miradi inayotekelezwa kwa ubia katika Jiji la DSM

Posted on: January 30th, 2025

Na: Shalua Mpanda

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida mheshimiwa Yagi Kiaratu amesema wao kama Manispaa wamejifunza na kufurahishwa na mradi wa ujenzi wa jengo la kibiashara la DDC unaotekelezwa kwa ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta binafsi (PPP).

Akiambatana na waheshimiwa madiwani na wataalamu kutoka Manispaa hiyo, Mstahiki Meya huyo ameusifu uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kuwa na wazo hilo linalowezesha utekelezaji wa mradi mkubwa kama huo bila kutumia fedha zake za ndani.

"Tumeona kuna umuhimu wa kutoka na kuja kujifunza sehemu nyingine,na moja ya eneo tulilolenga ni Jiji la Dar es salaam ambalo kiukweli wanafanya vizuri hasa kwenye ukusanyaji wa mapato na udhibiti wa takataka". Alisema Mhe. Kiaratu.

Amesema ujenzi wa mradi huo unaogharimu zaidi ya Shilingi bilioni 37 wenye mkataba wa miaka 25 na muwekezaji huyo utakapomalizika utaweza kuiongezea Halmashauri hiyo mapato.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam ambaye ni Mkuu wa Idara ya Utumishi na Usimamizi wa Rasilimali watu Bi.Tabia Nzowa amesema ushirikiano baina ya Manispaa ya Singida na Jiji la Dar es salaam una lengo la kubadilishana uzoefu baina ya pande hizi mbili.

Mradi wa ujenzi wa jengo la kibiashara la DDC linalojengwa eneo la Kariakoo wenye ghorofa sita unatekelezwa na mbia kampuni ya Tosh Logistics Company una gharama ya Shilingi bilioni 37 unatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka mmoja toka kuanza kwa ujenzi wake.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.