• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Taasisi ya Kumbilamoto Foundation yatoa bima ya afya kwa wananchi 114 bure

Posted on: June 3rd, 2024

Taasisi ya Kumbilamoto Foundation imegawa bima za afya bure kwa kaya 19 zenye jumla ya watu 114 katika kata ya Vingunguti Wilayani Ilala zenye thamani ya shilingi milioni mbili laki nane na eflu hamsini (tsh. 2,850,000) ambazo zitawasaidia wananchi hao kupata huduma za matibabu bure katika hospitali na vituo vya afya nchini.

Akizungumza mara baada ya hafla hiyo iliyofanyika kwenye Zahanati ya Vingunguti Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya a Ilala Alhaj Said Side amesema mtaji wa mwanadamu yeyote ni afya hivyo Taasisi ya Kumbilamoto Foundation imejali afya za wananchi wa Vingunguti ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwaza na kutekeleza jambo hili na linapaswa kuigwa na taasisi nyingine.

"Kadi ya Bima ya afya ni muhimu unaweza ukaitumia kupata matibabu mpaka ya shilingi 700,000 au milioni  kwa ajii ya vipimo peke yake hivyo wananchi wana umuhimu wa kukata bima ya afya tunaishukuru na Taasisi ya Kumbilamoto Foundation kwa kujali wananchi wa kata ya Vingunguti" amesema Sidde.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mhe. Omary Kumbilamoto amesema Kumbilamoto Foundation imeanzishwa mwaka 2021 na kusajiliwa mwaka 2022 na inatoa huduma za kijamii sehemu zote nchini ikiwemo kuchimba visima na kusaidia makundi maalum wakiwemo Wazee Wajane na Vijana  ili kuondoa changamoto zao.

Aidha, Mhe. Kumbilamoto ameongeza kuwa miaka mitatu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchi yetu imepata mambo makubwa ya maendeleo ambapo alitumia fursa hiyo kumpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam Jomaary Mrisho Satura na Mbunge wa Segerea Mhe. Bonnah Ladslaus Kamoli kwa kufanya mambo makubwa ya maendeleo Kata ya Vingunguti na jimbo la Segerea kwa ujumla .

Nae Katibu wa Taasisi ya Kumbilamoto Foundation Alex Buberwa alisema alisema taasisi hiyo imejikita zaidi kusaidia jamii na leo hii wametoa bima za afya kwa wananchi 114 waliopo kwenye mitaa sita ya Vingunguti ikiwemo Mtakuja, Majengo Mtambani, Butiama, Miembeni na Kombo lengo kuu likiwa ni kuwasaidia wananchi wa maeneo hayo waweze kuzitumia kadi hizo katika huduma ya afya.

Nae Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Vingunguti Dkt. Isack Makundu amesema kwa sasa Zahanati ya Vingunguti inatoa huduma masaa 24 baadhi ya huduma hizo ni Kinywa na Meno, Tiba ya mionzi (Utrasound ), Wodi ya Wazazi kwa ajili ya kuzalisha, kiliniki ya Baba Mama na Mtoto, TB na Ukoma ,Upasuaji mdogo pamoja na matibabu ya wagonjwa wa nje.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.