Kitengo cha Ugavi ni moja wapo ya Vitengo vilivyo chini ya Ofisi ya Mkurugenzi katika Halmashauri ya Jiji. Kazi kubwa ya Kitengo ni kuhakikisha inatekeleza Sheria mpya ya Manunuzi Na. 7 ya mwaka 2011 na Kanuni ya Manunuzi Na. 446 ya mwaka 2013 na kuhakikisha kuwa manunuzi hayo yanafuata na kuzingatia Sheria na Kanuni hizo. Vile vile Kitengo kinatoa ushauri kwa Idara na Vitengo kufuata Mpango wa Manunuzi.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.