Friday 27th, December 2024
@Dar es Salaam
Sikukuu ya wafanyakazi duniani ni kumbukumbu ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1886 yaliyotokea katika viwanja vya Haymarket, Chicago, nchini Marekani. Polisi walikuwa wakitawanya mkusanyiko wa wafanyakazi wakati wa mgomo wa kupinga masaa nane ya kazi ambapo mtu asiyejulikana aliwarushia askari bomu. Polisi waliwalirushia risasi wafanyakazi na kuwaua wanne.
Siku ya hii kwa Tanzania hujulikana kama Siku ya Wafanyakazi Duniani yaani Mei Mosi, inasherehekewa kila mwaka tarehe 1 Mei. Sherehe hufanywa kitaifa na huwakutanisha wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali binafsi na umma.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.