JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Tarehe: 08 October, 2015

Mahali: City Hall

Muda: 09:00 - 15:00

Maelezo Ya Tukio:

Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam inawatangazia  wananchi waliojaza fomu za maombi ya kufikiriwa kupewa viwanja katika eneo la Mwasonga na Kimbiji - Kigamboni Temeke, wanatakiwa wafike ofisi ya Halmashauri  ya Jiji la Dar Es Salaam kuangalia majina yao, kwa watakao pata awamu ya kwanza  na waliopendekezwa kupata awamu ya pili.


Atakayeona jina lake lipo katika awamu ya kwanza afike tarehe 12/10/15 kwenye ofisi ya mradi wa viwanja kuchukua ankara za malipo na maelekezo  kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 9.00 alasiri.

Kupata orodha ya majina hayo bonyeza hapaIMETOLEWA NA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM

08/10/2015