• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Baraza la Madiwani Jiji la DSM lapitisha Taarifa ya Utendaji Kazi kwa Robo ya Kwanza (Julai- Septemba 2023) ya Mwaka wa Fedha 2023/2024

Tarehe iliyowekwa: November 9th, 2023

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 9 Novemba, 2023 wamefanya mkutano wa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai – Septemba 2023) katika ukumbi wa Arnatoglou na kupitisha taarifa ya utendaji kazi kwa robo hiyo.

Aidha, katika kikao hicho Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Halmashauri wamewasilisha taarifa za kamati zao na wajumbe wa Baraza la Madiwani wamezipokea na kuzipitisha Ili zibaki kuwa kumbukumbu sahihi kwa Halmashauri

Katika kikao hicho, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imewasilisha taarifa  ya uwekezaji wa shirika la DDC linaloingia ubia na Tosh Logistics Company kwa muda wa miaka 25 ambapo Wanatarajia kufanya ujenzi wa jengo la ghorofa 6 katika eneo la Kariakoo lenye thamani ya Shilingi Bilioni 37.3 ambalo litakua na jumla ya maduka 398, stoo 36, baa na kumbi 10 ambapo Mradi huu utakua ni wa Jenga, endesha, rejesha na baada ya miaka 25 unatarajiwa kuwa umeingiza mapato ya bilioni 121 ambapo Bilioni 84 ikiwa ni faida na Bilioni 37 ikiwa ni gharama za jengo.

Aidha, katika kikao hicho Kamishina Msaidizi wa Ardhi Ndg. Shukurani Kyando alipata wasaa wa kuwaelezea Madiwani urasimishaji wa Ardhi na Makazi kwa Jiji hilo ikiwa ni moja ya Agenda ya Kikao hicho na kusema “Kutokana na changamoto mbalimbali za urasimishaji wa Ardhi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imekuja na suluhisho kwa kuwasaidia wananchi kwa kuwasogezea huduma ya urasimishaji wa ardhi  na makazi katika mitaa yao, ambapo watendaji wa Halmashauri na Kamishina wa Ardhi wataweka kambi ya siku 25  katika mitaa husika ambapo Wananchi watapata huduma ya kupanga, kupimiwa ardhi pamoja na kupewa hati za umiliki kwa muda wa siku moja.”

Sambamba na hilo, Mkurugenzi wa Halamashauri ya Jiji la Dar es salaam Ndg. Jomary Satura amewaahidi kufanya kazi kwa bidii kwa kufata maelekezo ya Meya na Baraza la Madiwani.

Akifunga kikao hicho Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto amewashukuru  Waheshimiwa Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushiriki  katika ziara za kamati mbalimbali  za robo ya kwanza 2023/2024. Kwani wamefanya kazi kwa kushirikiana kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.