• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

DC Mpogolo azitaka benki za CRDB na NMB kuhakikisha wanufaika wanapata mkopo kwa wakati

Tarehe iliyowekwa: February 24th, 2025

Na: Doina Mwambagi 

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amezitaka taasisi  za kifedha kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuhakikisha wanufaika wanapata mkopo   kwa wakati.

Hayo ameyasema Leo februari 24, 2025 kwenye mkutano maalumu wa utambulisho wa benki katika usimamizi na utaoji wa mikopo halmashauri ya Jiji uliofanyika katika ukumbi wa Anartoglo Jijini Dar es Salaam.

Mhe. Mpogolo amesema dhamira ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha ,wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanapata mikopo ili kuwakwamua kiuchumi 

“Serikali inaamini kwamba uwezeshaji wa makundi haya utaongeza usawa na kuboresha hali ya maisha yao. Mikopo hii inalenga kuwawezesha kupata fursa za kiuchumi ambazo zitawawezesha kujitegemea na kuchangia katika maendeleo ya taifa. Hivyo nitoe wito kwa benki ya CRDB na NMB kuhakikisha wanufaika hao wanapata mikopo yao kwa wakati, ili kufanikisha dhamira ya Serikali ya kuwawezesha wananchi kiuchumi.' Amesisitiza Mhe. Mpogolo.

Aidha, DC Mpogolo ameziagiza taasisi za kifedha kutengeneza mfumo mzuri wa ufuatiliaji wa madeni ili kuhakikisha kuwa wanufaika wanarejesha mikopo yao kwa wakati na kwa njia inayohusisha uwazi na usimamizi mzuri  pia utasaidia katika utunzaji wa rekodi za kifedha kwa faida ya wateja

Sambamba na hilo, Mhe. Mpogolo amesema kwa kuunga juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya nishati safi ya kupikia amezitaka benki hizo kutoa mikopo ya majiko ya kisasa kwa mama lishe na baba lishe ili kulinda afya zao na mazingira kiujumla.

Lengo kuu la mkutano huu lilikuwa ni kutambulisha benki ya CRDB na NMB zitakazoshirikiana na halmashauri katika kusimamia utoaji wa mikopo.

Serikali iliisimamisha mikopo hiyo ya 10% ili kufanya maboresho, na sasa imechagua Halmashauri 10 za mfano, ikiwemo Jiji la Dar es Salaam na tayari imeingia makubaliano na benki mbili ya CRDB na benki ya NMB kwa ajili ya utoaji wa mikopo hiyo, huku shilingi bilioni 15 zikiwa zimetengwa kwa ajili ya Mikopo kutoka kwenye mapato ya ndani na marejesho ya mikopo ya awali. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa wanufaika wanapata fursa bora zaidi za mikopo kwa maendeleo yao.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.