• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Jiji la DSM Mabingwa wa UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa kwa mwaka 2021

Tarehe iliyowekwa: May 31st, 2021

Na: Hashim Jumbe

TIMU ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 31 Mei, 2021 wameibuka Mabingwa wa Jumla wa Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) ngazi ya Mkoa wa Dar es Salaam, yaliyofanyika kwa Siku Nne (4) katika viwanja vya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es  Salaam (DUCE) na uwanja wa Uhuru uliopo Temeke, Dar es Salaam.


Mashindano hayo yaliyoshirikisha Timu Tano (5) kutoka katika Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam ambazo ni Halmashauri ya Jiji la DSM, Manispaa ya Kinondoni, Ubungo, Kigamboni na Temeke yalifunguliwa tarehe 28 Mei, 2021 na kufungwa rasmi Siku ya leo na Afisa Elimu Mkoa wa DSM, Ndugu Abdul Maulid, huku Halmashauri ya Jiji la DSM wakiibuka washindi wa Jumla kwa kubeba vikombe Tisa (9) kati ya vikombe 16 vilivyoshindaniwa, ambapo Nafasi ya Pili ilienda kwa Manispaa ya Temeke.


Aidha, mashindano hayo yaliwakutanisha jumla ya wanamichezo 600 walioweka kambi Shule ya Sekondari Jitegemee, kama anavyosema Afisa Elimu Mkoa wa DSM, Ndugu Abdul Maulid "Natambua kuwa Halmashauri zote Tano (5) zimetoa washiriki 100 pamoja na walimu wao ni 120, hivyo hongereni kwa mkusanyiko mkubwa, mmekuwa hapa kwa Siku Nne (4) lakini katika Siku zenu 4 mmekuwa na nidhamu kubwa, kwa hiyo tunawashukuru sana Jitegemee kwa kutukaribisha na kutupa huduma tulizozitaka"


Sambamba na Halmashauri ya Jiji la DSM kuwa Mabingwa wa Mkoa, lakini pia imeweza kutoa wachezaji wengi zaidi kwenda timu ya Mkoa wa DSM, wachezaji 72 kati ya wachezaji 120 wanaounda timu ya mkoa wa DSM itakayokwenda kushiriki michuano hiyo kwa ngazi ya Kitaifa, mashindano yatafanyika Mkoani Mtwara kuanzia tarehe 6 Juni, 2021


Itakumbukwa kuwa timu ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ndiyo walikuwa Mabingwa watetezi wa michuano hiyo kwa Mkoa wa DSM na mwaka huu wameweza kutetea tena ubingwa wao na kuwa Mabingwa kwa Miaka Mitano (5) mfululizo

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.