• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
  • Pangisha

Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Tarehe iliyowekwa: June 19th, 2019

Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 19 Juni, 2019 wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji wameadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kufanya usafi katika Kituo cha Mabasi Ubungo pamoja na kuwajulisha wananchi na wadau kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mabasi katika eneo la Mbezi Luis ambako huduma za usafiri wa ndani na nje ya nchi zitahamishiwa kutoka Kituo cha sasa Ubungo.

Akizungumza kwenye maadhimisho hayo Kaimu Mkurugenzi wa Jiji, Herman L. Msuha alieleza kwamba ujenzi na usimamizi wa Kituo cha Kimataifa cha Mbezi Luis umezingatia mahitaji ya makundi mbalimbali ili kuweza kutoa huduma bora za usafiri ndani na nje ya nchi na kuwatoa hofu wadau wa Kituo cha Mabasi Ubungo.

Kaimu Mkurugenzi wa Jiji alihitimisha maelezo yake ya ufafanuzi kwa kuwakaribisha wananchi na wadau mbalimbali kutembelea eneo la Mbezi Luis kujionea maendeleo ya ujenzi wa Kituo kipya cha Kimataifa cha Mabasi pamoja na maonesho ya wajasiriamali katika Viwanda Vidogo Vidogo vya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam vilivyopo eneo la Mwananyama katika Manispaa ya Kinondoni, jirani na Hospitali ya Mwananyamala kuona kazi zinazofanywa na wajasiriamali hao ambao ni wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Wananchi na wadau mbalimbali wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo wamepata fursa ya kuwasilisha hoja mbalimbali kuhusu huduma ya usafiri ndani ya Kituo pamoja na maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mbezi Luis na kupatiwa ufafanuzi wa hoja hizo.

Maadhimisho haya ni kwa mujibu wa kalenda ya Umoja wa Afrika (AU) ambapo nchi wanachama huadhimisha kwa kushiriki shughuli mbalimbali zinazohusu Utumishi wa Umma yanaratibiwa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora yakiwa na Kauli mbiu: "Uhusiano kati ya uwezeshaji wa vijana na usimamizi wa masuala ya uhamiaji: Kujenga utamaduni wa Utawala Bora, matumizi ya TEHAMA na ubunifu katika utoaji wa Huduma Jumuishi."

Matangazo

  • Tangazo la upangishaji eneo la wazi katika jengo DCC Business Park (Machinga Complex) February 18, 2021
  • Orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili utakaofanyika Karakana ya Mwananyamala tarehe 16 Februari, 2021 kwa nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru wa maegesho yasiyo rasmi "Wrong Parking" February 15, 2021
  • Orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili utakaofanyika Karakana ya Mwananyamala tarehe 19 Februari, 2021 kwa nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru February 15, 2021
  • Orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili utakaofanyika Karakana ya Mwananyamala tarehe 17 Februari, 2021 kwa nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru February 15, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge atangaza kuanza huduma Kituo Kikuu kipya cha mabasi eneo la Mbezi Luis

    February 18, 2021
  • Madiwani Jiji wakagua maendeleo ya ujenzi mradi wa Kituo Kikuu cha Mabasi eneo la Mbezi Luis

    January 27, 2021
  • Kituo kipya cha mabasi Mbezi Luis kuanza kutumika muda wowote kuanzia sasa, Waziri Jafo apongeza uongozi wa mkoa Dar es Salaam kwa usimamizi thabiti

    January 25, 2021
  • Waheshimiwa Madiwani Jiji Wapewa Mafunzo Elekezi

    January 07, 2021
  • Angalia zote

Video

Omary Matulanga achaguliwa kuwa Mstahiki Meya Jiji la Dar es Saaam
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Wananchi

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 9084

    Simu ya mezani: +255 22 2123346

    Namba ya Mkononi: 0715046974

    Barua Pepe: cd@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.