• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Ilala ashiriki katika hafla ya kukabidhi vifaa Zahanati ya Gerezani

Tarehe iliyowekwa: November 25th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ludigija leo tarehe 25 Novemba, 2022 amepokea vifaa kutoka kampuni ya Bora Rx Medisina na kuvikabidhi katika Zahanati ya Gerezani iliyopo katika Halmshauri ya Jiji la Dar es Salaam. Katika hafla hiyo Mkuu wa  Wilaya amesema.

“Tunawapongeza kampuni ya Bora Rx Medicina kwa mchango wao katika Zahanati ya Gerezani ikiwa ni kuonyesha juhudi na kuungana na Serikali katika kudumisha huduma za afya hii kutokana na Rais wetu Samia Suluhu Hassan kwa kudumisha ushiriano na mashirika Binafsi na sasa tunaona matunda haya yanawafikia wananchi”

Kampuni ya Bora imetoa vifaa vya kisasa vya matibabu na kuweza kufanya ukarabati katika kituo hiko ikiwa ni sehemu moja wapo ya kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kudumisha huduma bora za afya kwa Jamii.

Akitumia nafasi ya kuongea na wananchi walioudhuria hapo Mkurugenzi wa Kampuni ya Bora Rx Medicina Bi. Margareth Maganga amesema  “Sisi ni watoa huduma ya famasia ambapo kwa sehemu kubwa tunajari ubora wa utoaji huduma,tunajali ushirikiano wetu na serikali pia sambamba na hilo tunaelimisha jamii kupitia mitandao ya kijamii juu ya matumiziya dawa bora na sio bora dawa”

Ikiwa ni uboreshaji wa huduma hizo nae Mfamasia wa kampuni ya Bora Rx Medicina ndugu Morris Mwinuka amesema “Baadhi ya vifaa ambavyo tumevikabidhi leo ni pamoja na vitanda vitano vya kufanyia uchunguzi, kitanda kimoja cha wodini, samani, darubini, semi-auta biochamp, coaqulation machine na vinginevyo vyenye thamani ya Shilingi Milioni 46 pamoja na ukarabati uliofanyika.''

Kwa kuhitimisha Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Eng. Amani Mafuru alitumia jukwaa hilo na kusema anashukuru kwa Kampuni kuunga mkono kazi zinazofanywa na Serikali lakini pia anafungua milango kwa kampuni zingine kuweza kushirikiana katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.