• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Ilala awataka Watendaji wa Mitaa kusimamia Majukumu yao

Tarehe iliyowekwa: May 15th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mheshimiwa Edward Mpogolo   leo tarehe 15 Mei, 2024 amefanya kikao kazi na Watendaji wa Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam lengo likiwa ni kuwakumbusha watendaji hao kusimamia majukumu yao kwa kuhakikisha wanasimamia shughuli zote za kimaendeleo zinazotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Aidha, katika kikao kazi hicho Mhe. Mpogolo ametoa maelekezo kwa watendaji wote wa Mtaa kuhakikisha wanashirikiana na ofisi ya Mkurugenzi katika kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halamshauri ya Jiji la Dar es Salaam.

"Madhumuni ya kikao kazi hichi ni kufahamiana na kufahamu misimamo yetu katika kuhakikisha mnasimamia vyema miradi ya maendeleo inayotekezwa kwa kuhakikisha mnashirikiana baina yenu wenyewe pamoja na sisi viongozi wenu kwani mahusiano baina yetu ndio chachu ya maemdeleo katika Halmashauri yetu hivyo tuhakikishe tunasimamia suala la ulinzi na usalama katika mitaa yetu, usafi wa mazingira, miradi inayotekelezwa ndani ya mitaa yenu bila kusahau zoezi zima la ukusanyaji wa mapato lengo ni kuhakikisha Jiji letu linakua kwa kasi kila sekta”. Ameeleza Mhe. Mpogolo

Sambamba na hilo Mhe. Mpogolo ameendelea kusema "Haiwezekani Mkuu wa Wilaya nifanye majukumu yangu na pia nifanye majukumu yako Mtendaji wa Mtaa kwani majukumu yenu ni kumsaidia Mkurugenzi moja kwa moja kusimamia miradi, msiwaachie wanafunzi wa kujitolea ofisi kwani ni wajibu wenu kufika ofisini kwa wakati na kusimamia kazi zinazowahusu hivyo naomba mhakikishe mnasimamia  na kutekeleza vyema majukumu yenu ya kazi na nitaanza ziara ya kutembelea mitaa yote kuona changamoto zinazowakabili na kuleta masuluhisho sahihi."

Kwa upande mwingine Mhe. Mpogolo amewasisitiza Watendaji wa Mtaa kuhakikisha wanashirikiana na viongozi kwa ukaribu zaidi katika maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Octoba, 2024.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Ndg. Jomaary Satura amemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kikao kazi hicho cha kuwakumbusha majukumu yao na kumhakikishia kuwa wanaenda kutekeleza yale yote aliyoyaagiza ikiwemo ukusanyaji wa mapato pamoja na usimamizi wa miradi inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa maendeleo ya nchi huku akiwahakikishia watendaji wa mtaa kuboresha stahiki zao baada ya wao kufanya kazi.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.