Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Sipora J. Liana (wa pili kutoka kushoto) pamoja na baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Jiji wakikagua ujenzi wa barabara za ndani za dampo la Pugu Kinyamwezi pamoja na ukuta kuzunguka eneo lote la dampo. Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mwaka huu wa fedha inatarajia kukamilisha ukarabati wa kawaida wa barabara za ndani na ujenzi wa ukuta awamu ya tatu kuzunguka eneo lote la dampo la Pugu Kinyamwezi kwa lengo la kurahisisha uingizwaji na uhifadhi wa taka ngumu zinazozalishwa jijini pamoja kuimarisha usalama ndani ya eneo la dampo.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.