• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Viongozi wa Chama na Serikali wahimizwa kusimamia Ulinzi na Usalama

Tarehe iliyowekwa: September 21st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewataka viongozi wa Chama na Serikali kushirikiana na viongozi wa dini kuhakikisha wanasimamia ulinzi na usalama katika maeneo yao kwani ulinzi na usalama ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii katika ngazi zote, na kwa hakika hakuna jamii ambayo itajivunia kupata mwelekeo wa maendeleo Kama kwao usalama haupo.

Mhe. Mpogolo ametoa rai hiyo leo Septemba 21, 2024 wakati akihitimisha ziara yake ya siku nane katika Majimbo matatu ya Wilaya ya Ilala kwa kufanya Mkutano na viongozi wa Chama na Serikali  kwa  Kata za Bonyokwa, Segerea, Kisukuru na Kinyerezi uliofanyika katika ukumbi wa Lukolo Jijini Dar es Salaam wenye lengo la kutoa elimu kwa viongozi hao kuwa na mahusiano mazuri na kuendelea kushirikiana katika kuhakikisha Ilani ya Chama inatekelezwa na huduma za kijamii zinaboreshwa kwa wananchi.

Aidha, Mhe. Mpogolo amewasihi viongozi haonkuhakikisha kila mmoja anakua mlinzi wa mwingine katika kuhakikisha wanakemea vitendo viovu vinavyoendelea katika Jamii na kuhakikisha wanashirikiana na Jeshi la polisi kutoa taarifa pindi watakapoona watu ambao hawaelewi katika maeneo yao.

“Sisi kama Viongozi ni wajibu wetu kuunga mkono Serikali kwa kusimamia amani na usalama wa nchi yetu kwani Wawekezaji wanakuja kuwekeza nchini kwetu kwasababu kuna amani bila amani wawekezaji hawawezi kuwekeza nchi hivyo tutoe taarifa kwa Jeshi la polisi pindi tunapowaona watu tusiowaelewa katika maeneo yetu wanaoonekana kuleta uvunjifu wa amani  hii itasaidia kuhakikisha ulinzi na usalama unakuwepo katika mitaa yetu”. Amesisitiza Mhe. Mpogolo.

Vilevile, Mhe. Mpogolo amewataka viongozi hao kusimamia maadili kwa watoto wao hasa waliomaliza darasa la saba ili kuepuka mimba za utotoni pamoja na kujiingiza katika makundi ya kiushawishi yasiyoendana na mila na desturi za Kitanzania.

Halikadhalika, Mhe.Mpogolo amewasihi viongozi kuhakikisha wanashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kuwahamasisha Wananchi kujiandikisha katika daftari la makazi ili kuweza kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27, 2024 huku akiwasihi Wananchi wenye sifa za kugombea kujitokeza kuchukua fomu ili waweze kugombea kwa maendeleo ya wananchi na Jiji kwa ujumla.

Aidha, ziara hiyo imehitimishwa kwa kutembelea Kata 36 na Mitaa 159 ambapo Mhe. Mpogolo ameweza kukutana na Viongozi 9350 wa Kata, Mitaa, Matawi na Mashina pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi wa Kata hizo.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.