• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Wakazi wa Kata ya Gongolamboto wahimizwa kujiandikisha kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura

Tarehe iliyowekwa: October 10th, 2024

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto  amewasisitiza wakazi, wazazi, walezi pamoja na  wanafunzi wenye sifa ya kupiga kura  kujitokeza kwa wingi kujiandikisha  kwenye daftari la mpiga kura la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ili waweze kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa  2024  kwa  kuchagua viongozi wanaowapenda.

Mhe. Kumbilamoto  ameyasema hayo leo octoba 10, 2024 wakati akizungumza  na  Wananchi waliojitokeza katika sherehe ya mahafali ya 20   ya kidato cha nne ya shule ya sekondari Juhudi  yaliyofanyika katika viwanja vya shuleni hiyo Jijini Dar es Salaam.

“Nipende kutumia nafasi hii kuwakumbusha wananchi wote mliojitokeza katika  sherehe hii ya mahafali,    wenye sifa  za kupiga kura mjitokeze kwa wingi  katika Zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la  mpiga     kura la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika maeneo yenu  , Zoezi hili linatarajia kuanza   siku ya kesho tarehe 11 hadi 20 octoba 2024 ambalo litadumu kwa muda wa siku kumi” amesema Mhe. Kumbilamoto.

Sambamba na hilo, Mhe. Kumbilamoto amewataka wazazi na walezi wa wanafunzi hao kusimamia malezi bora na usalama wa  watoto hao wanapokua nyumbani  ili  kujenga kizazi chenye maadili huku akiwahakikishia viongozi wa Shule kutatua changamoto ya upungufu wa madarasa pamoja na uzio.

Awali akisoma Risala, Mkuu wa shule ya sekondari Juhudi Mwl. Happiness Pallangyo  ameeleza kuwa Shule ya Sekondari Juhudi imekua ikifanya vizuri katika eneo la taaluma na nidhamu kwa ujumla kwani wanafunzi wa Shule hiyo wamekuwa wakifanya vizuri toka 2022 hadi sasa huku akisisitiza kuendelea kusimamia maadili na nidhamu kwa watoto Ili kuendelea kuongeza ufaulu.

Sambamba na hilo, Mwl. Pallangyo ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa fedha anazoendelea kuzitoa katika kuhakikisha sekta ya Elimu inaendelea kukua huku akimshukuru Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya Elimu katika Shule  ya Sekondari Juhudi na Shule zote za Jiji la Dar es Salaam.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.