• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Waziri Mkuu Majaliwa afungua mashindano ya Kitaifa ya UMITASHUMTA na UMISSETA 2022 Tabora

Tarehe iliyowekwa: August 4th, 2022

Na: Hashim Jumbe, Mkoani Tabora

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo tarehe 04  Agosti, 2022 amefungua rasmi Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Mashindano ya Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) kwa ngazi ya Kitaifa, kwa mwaka 2022 ufunguzi uliofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi uliopo Mkoani Tabora.

Mashindano hayo yaliyoanza kutimua vumbi tangu tarehe 29 Julai, 2022 na yanatarajiwa kufungwa tarehe 19 Agosti, 2022 ambapo yanajumuisha timu kutoka Mikoa 26 ya Tanzania Bara na Mikoa ya Pemba na Unguja na Jumla ya wanamichezo 3,274 wanashiriki UMITASHUMTA na kwa upande wa UMISSETA Jumla yao itakuwa ni wanamichezo 3,497

Aidha, wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewaasa wanamichezo hao kucheza kwa bidii kwani michezo inatoa fursa mbalimbali

"Ndugu wanamichezo, matarajio ya Viongozi wetu yanatokana na ukweli kuwa wanamichezo wanaweza kuimarika na kuwa bora katika kupata fursa ya kushiriki katika mashindano mbalimbali ikiwemo mashindano haya ya michezo ya UMITASHUMTA na UMISSETA na kwa mantiki hiyo Serikali zetu zote Mbili (2) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Zanzibar zitaendelea kuhakikisha kwamba tunaimarisha michezo nchini kwenye ngazi zetu za shule za Msingi na Sekondari, lakini pia haitoshi Sekondari peke yake, itaenda katika vyuo vya elimu ya juu" Mhe. Majaliwa

Aidha, michezo itakayoshindaniwa kuwa ni Mpira wa Miguu Wavulana na Wasichana, Mpira wa Miguu Maalum (Wavulana viziwi) Netiboli kwa Wasichana, Mpira wa Wavu, Mpira wa Mikono, Mpira wa Kengele kwa Wasioona, Riadha Maalum, Riadha kawaida naSanaa za Maonesho.

Sambamba na michezo hiyo, lakini pia kutakuwa na Mpira wa Kikapu utakaohusisha wanafunzi wa Sekondari Wavulana na Wasichana, hivyo kufanya UMISSETA kuwa na Jumla ya Michezo Kumi (10) na UMITASHUMTA michezo Tisa (9)

Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanafanyika Mkoani Tabora ikiwa imepita miaka 22 tangu mara ya mwisho kufanyika Mkoani hapa, hivyo kwa mwaka huu michezo inaendelea kufanyika katika  viwanja vya Chuo cha Ualimu Tabora, Shule ya Sekondari Tabora Boys na Tabora Girls na Chuo cha Uhazili Tabora

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.