• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
  • Pangisha

Ziara ya kutembelea maeneo ya miradi ya Shirika la Masoko Kariakoo

Tarehe iliyowekwa: May 28th, 2019

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita Charles leo tarehe 28 Mei, 2019 akiongozana na Waheshimiwa Madiwani na Wajumbe wa Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamefanya ziara ya kutembelea na kukagua maeneo ya miradi ya maendeleo ya Shirika la Masoko Kariakoo.

Maeneo ya Shirika yaliyotembelewa ni viwanja katika mitaa ya Tabata na Mbezi Beach Makonde ambayo Shirika la Masoko Kariakoo limepanga kufanya uwekezaji wa ujenzi wa Masoko ya Kisasa kwa lengo kutoa huduma nzuri na endelevu hususani mazao ya vyakula, pembejeo za kilimo na bidhaa mchanganyiko zenye kujali afya, mazingira na usalama wa watumiaji/walaji.

Waheshimiwa Madiwani baada ya kujionea hali halisi ya maeneo ya uwekezaji walipata fursa ya kutoa michango yao kwa Menejimenti ya Shirika juu ya uendelezaji na uwekezaji wa maeneo husika ikiwa ni pamoja na kujenga masoko mengine mapya katika Jiji la Dar es Salaam na kusimamia uendeshaji wake ikiwa ni sehemu mojawapo ya majukumu mahsusi ya Shirika la Masoko Kariakoo.

Shirika la Masoko Kariakoo lilianzishwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge Na.36 ya mwaka 1974. Mnamo mwaka 1985, sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho kwa kurekebisha kifungu Namba 8 cha sheria hiyo. Katika marekebisho hayo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam lilimilikishwa asilimia 51 ya hisa na Msajili wa Hazina akabaki na hisa asilimia 49.

Matangazo

  • Tangazo la nafasi ya kazi tarehe 26 Januari, 2021 January 26, 2021
  • Mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam December 15, 2020
  • Wito wa kuhudhuria mkutano wa Madiwani wote utaokanyika tarehe 16 Disemba, 2020 December 04, 2020
  • Tangazo la kuitwa kwenye usajili November 26, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Kituo kipya cha mabasi Mbezi Luis kuanza kutumika muda wowote kuanzia sasa, Waziri Jafo apongeza uongozi wa mkoa Dar es Salaam kwa usimamizi thabiti

    January 25, 2021
  • Waheshimiwa Madiwani Jiji Wapewa Mafunzo Elekezi

    January 07, 2021
  • Jafo Ampongeza Mkurugenzi wa Jiji

    December 28, 2020
  • Jiji latoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi 88 vya wanawake, 36 vijana na 36 watu wenye ulemavu

    December 24, 2020
  • Angalia zote

Video

Omary Matulanga achaguliwa kuwa Mstahiki Meya Jiji la Dar es Saaam
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Wananchi

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 9084

    Simu ya mezani: +255 22 2123346

    Namba ya Mkononi: 0715046974

    Barua Pepe: cd@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.