Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2022
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ipo kwenye utekelezaji wa mpango wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 310 kwa Shule za Sekondari kupitia fedha zilizotolewa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan maarufu ka...
Tarehe iliyowekwa: November 25th, 2022
Leo tarehe 25 Novemba, 2022 Ubalozi wa China Nchini umekabidhi vifaa na vitendea kazi kwa shule jumuishi ya Uhuru Mchanganyiko ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano baina ya Tanzania na China.
Akionge...
Tarehe iliyowekwa: November 25th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ludigija leo tarehe 25 Novemba, 2022 amepokea vifaa kutoka kampuni ya Bora Rx Medisina na kuvikabidhi katika Zahanati ya Gerezani iliyopo katika Halmshauri ya ...