Tarehe iliyowekwa: November 8th, 2022
Kamati ya Ustawi wa Jamii kutoka Visiwani Zanzibar leo tarehe 8 Novemba, 2022 imefanya ziara katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuja kubadilishana uzoefu katika Idara ya Elimu Maalumu katika ...
Tarehe iliyowekwa: November 7th, 2022
Waheshimiwa Madiwani pamoja na Watumishi kutoka Halmashauri yaJiji la Mwanza, leo tarehe 7 Novemba, 2022 wamefanya ziara ya mafunzo Jijini Dar es Salaam, lengo likiwa ni kuimarisha utendaji kazi pamoj...
Tarehe iliyowekwa: October 25th, 2022
Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 25 Oktoba, 2022 imefanya ziara ya kawaida ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Halmashauri ya Jiji l...