Tarehe iliyowekwa: August 19th, 2021
Na: Hashim Jumbe
"Sisi tumekwisha uwasha Mwenge, tumekwisha uwasha Mwenge. Na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro. Kuwasha Mwenge na kuuweka Kilimanjaro"
Naam, huo ni mpangilio wa sauti...
Tarehe iliyowekwa: August 13th, 2021
Na: Hashim Jumbe
TAREHE 08 Desemba, 1961 muda mchache kabla ya kutimia Saa 6:00 Usiku, Luteni Alexander Gwebe Nyirenda alikuwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro akiwasha Mwenge, tukio ambal...
Tarehe iliyowekwa: July 8th, 2021
Na;Rosetha Gange
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe.Amosi makalla leo tarehe 8/7/2021 amefanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Machinjio ya kisasa ya Vingunguti na kutoa agizo kwa Mkandar...