Tarehe iliyowekwa: June 5th, 2020
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa miaka minne mfululizo imepata hati safi kupitia ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) katika ukaguzi wa taarifa za mapato na matumizi za Hal...
Tarehe iliyowekwa: February 12th, 2020
Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wametakiwa kujiepusha na tabia na mienendo isiyofaa ambayo itawapelekea kwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi na ugonjwa wa ukimwi.
Rai hiyo imeto...
Tarehe iliyowekwa: February 9th, 2020
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeibuka kidedea katika ukusanyaji mapato ya ndani katika kipindi cha nusu mwaka (Julai-Desemba, 2019) kwa Halmashauri za Majiji nchini baada ya kukusanya mapato y...