Tarehe iliyowekwa: May 29th, 2017
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu Ndg. Amour Hamad Amour leo tarehe 29 Mei, 2017 amezindua Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam katika Manispaa ya Ilala jijini...
Tarehe iliyowekwa: May 26th, 2017
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene (Mb) leo tarehe 26 Mei, 2017 akiwa ameongozana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mhe. Isaya Mwita ...
Tarehe iliyowekwa: May 25th, 2017
Kamati ya Ukaguzi wa Miradi ya Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2017 imefanya ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo ukarabati wa Ukumbi wa Kar...