Tarehe iliyowekwa: April 18th, 2023
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 18 Aprili, 2023 imepokea mashine mia nne [400] za ukusanyaji wa mapato 'POS Machines' kutoka kampuni ya SSV Global Solutions ambazo zitawawezesha ...
Tarehe iliyowekwa: April 14th, 2023
Wazazi na Walezi wametakiwa kuzingatia lishe ya watoto ili kupata mlo kamili ambao unasaidia katika kujenga, kulinda na kuimarisha afya zao na kuepuka kushambuliwa na maradhi.
Wito huo umetolewa ...
Tarehe iliyowekwa: April 11th, 2023
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Ilala ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo akiwa pamoja na Wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Ilala wamefanya zi...