JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Kwa kuzingatia majukumu ya msingi ya Halmashauri ya Jiji kazi zake zinatekelezwa chini ya  Idara tano ambazo ni Idara ya Fedha, Utawala na Utumishi, Idara ya Mipangomiji Mazingira na Usafirishaji, Idara ya Udhibiti Taka, Idara ya Afya na Idara ya Ujenzi.  Inasimamia masuala yote yanayohusiana na Fedha, Utawala na Utumishi katika utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri

Idara ina jukumu kubwa la kupanga, kutekeleza na kusimamia maendeleo ya Makazi Jijini. 

Idara ina jukumu kubwa la kuratibu shughuli za usafi wa mazingira na kusimamia shughuli za Dampo. 

Idara ya Afya inatekeleza majukumu ya Uratibu wa Huduma za Kinga pamoja na Uratibu wa Huduma za Tiba   

Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji juu ya mambo yote yanayohusu Uhandisi (Ujenzi na Mitambo)