JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

1. KAMPUNI – BARUA ZA MAOMBI

i  Leseni ya Biashara

ii   Namba ya Mlipa Kodi (TIN)

iii Bima ya Pikipiki / Bajaji

iv   Nakala ya kadi ya Pikipiki / Bajaji

v Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa iliko ofisi CBD


2. MTU BINAFSI – BARUA YA MAOMBI

i  Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa unakofanyia shughuli zako (CBD)

ii   Leseni hai ya Biashara

iii Namba ya Mlipa Kodi (TIN)

iv Nakala ya Mkataba wa Ajira / Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwajiri

v Leseni ya kuendesha Pikipiki / Bajaji

vi Bima ya Pikipiki / Bajaji  


Bonyeza hapa ili kupakua fomu