JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

DIRA.

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inakusudia kujenga Jiji lenye maendeleo endelevu yanayosimamiwa kwa kanuni za utawala bora ambao wananchi wanaishi katika kiwango bora cha maisha na kuwa na Jiji lenye mazingira mazuri yanayo himili ushindani na kuvutia wawekezaji.

DHAMIRA.

Katika kutekeleza dira yake Halmashauri ya Jiji itatumia rasilimali zote zilizopo ukiunganisha na ushirika wa wadau kwa kutoa huduma bora za uhakika kwa watu wote ili kupunguza umaskini na kukuza uchumi kwa kiwango cha hali ya juu na huduma zenye ubora wa juu zenye kuvutia na kuimarisha uwekezaji.