Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. SARAH COOKE, amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. PAUL C. MAKONDA na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuongeza na kuimarisha ushirikiano uliopo baina ya Jiji la Dar es Salaam na London, nchini Uingereza.
Ujio wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul C. Makonda tarehe 18 Mei, 2017 amezungumza na Watendaji wa Idara ya Ardhi na Mipangomiji wa Halmashauri za Dar es Salaam wakati wa kikao kazi cha kujadili changamato mbalimbali zinazoikumba sekta ya Ardhi ikiwa ni pamoja na migogoro isiyokwisha ya umiliki wa ardhi.
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.