Tarehe iliyowekwa: September 10th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewataka wauguzi wa Hospitali na Vituo vya Afya kutoa huduma nzuri kwa wagonjwa , hayo yamesemwa leo Septemba 10, 2024 wakati akisikiliza kero za wananchi ...
Tarehe iliyowekwa: September 10th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewataka wananchi wa Kata za Chanika, Zingiziwa, Msongola na Buyuni kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili kuweza Kushiriki uchaguzi wa Serikali z...
Tarehe iliyowekwa: September 6th, 2024
Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Septemba 06, 2024 Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imepokea Taarifa ya Utekelezaji wa miradi iliyotekelezwa n...