Tarehe iliyowekwa: October 13th, 2023
Meneja wa NMB tawi la Airport Bw. Restus Asenga kwa niaba ya Mgeni rasmi Bw. Dismas Prosper ambaye ni Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam amewaahidi Walimu pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari J...
Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2023
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Divisheni ya Maendeleo ya Jamii leo Oktoba 11, 2023 wamezindua kampeni ya Habarisha Wanawake, Badilisha Maisha (Inform Women, Transform Lives) yenye lengo ...
Tarehe iliyowekwa: October 10th, 2023
Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2023 wamepata mafunzo ya kujengewa uelewa wa Mfumo mpya wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya Kielekroniki (National e-Procurement Sys...