Monday 6th, January 2025
@Mkoani Mjini Magharibi
Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa Mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule ilikuwa Tanganyika). Ifikapo tarehe 14/10/2017 atakuwa anafikisha miaka 18 tangu atangulie mbele za haki huku Taifa na vizazi vyake vikiendelea na kumbukumbu ya kifo chake na kumuenzi.
Kitaifa Maadhimisho hayo huambatana na sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru yatakayofanyika Mkoani Mjini Magharibi Zanzibar, Mgeni rasmi atakuwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.