• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Maegesho ya Magari
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Eneo Maalum la Usafi Jijini

Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam zinatarajia kuanzisha eneo maalum la usafi wa mazingira (Smart Area) ikiwa ni sehemu ya juhudi za mamlaka hizo za kuliweka Jiji katika mazingira safi, kuwezesha wananchi kushiriki kimilifu katika shughuli za usafi na kutunza mazingira yao kama suluhisho la kudumu la kuepuka magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na daima kuliweka Jiji safi.

Katika utekelezaji wa mpango huo utakaoratibiwa na Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam na kutekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Temeke na Ilala wananchi watapaswa kushiriki kikamilifu kwa kutambua, kuzingatia na kukubali kwamba:

  • Ni marufuku kwa biashara zisizo rasmi kufanyika katika Smart Area
  • Ni marufuku kwa bodaboda, guta na mikokoteni kuingia Smart Area
  • Ni marufuku kuwa na majengo chakavu/mabovu katika Smart Area
  • Ni marufuku kutupa taka ovyo katika Smart Area
  • Ni marufuku kutumia maeneo yasiyo rasmi kukusanya taka
  • Ni marufuku kwa Ombaomba  kufanya shughuli zao katika Smart Area
  • Ni marufuku kwa wamachinga kufanya biashara zao katika Smart Area
  • Ni marufuku kufanya na kupanga biashara zilizosajiliwa nje ya maduka
  • Ni marufuku kuwasha moto na kupika katika maeneo yasiyo rasmi
  • Ni marufuku kuwa na gereji bubu katika Smart Area
  • Ni marufuku kuwa na “Show rooms” za magari  katika makazi ya watu
  • Ni marufuku kuegesha magari ovyo katika Smart Area
  • Ni marufuku kujisaidia ovyo katika Smart Area
  • Ni marufuku kutema mate ovyo
  • Ni marufuku kuwa na mabango yaliyochakaa kwenye vituo vya mabasi
  • Ni marufuku kutumia nyumba au majengo yasiyowekewa “pavement”
  • Ni marufuku kuweka matangazo bila kibali maalumu katika Smart Area
  • Ni marufuku kuwa na mfumo wa majitaka katika mifereji ya maji mvua
  • Ni marufuku kuosha magari katika maeneo yasiyo rasmi
  • Ni marufuku kupiga kelele katika eneo maalumu bila kibali
  • Ni marufuku malori zaidi ya tani 10 kuingia Smart Area bila kibali

Katika utekelezaji wa mpango huo, maeneo yafuatayo yamepangwa kuwa Smart Area wakati maeneo mengine yataendelea kuwa chini ya usimamizi wa karibu wa Halmashauri za Manispaa katika kuimarisha usafi wa mazingira:

  • Barabara ya Kawawa: Kuanzia makutano ya Barabara ya Kawawa na Uhuru hadi makutano ya Barabara ya Kawawa na Ali Hassan Mwinyi (Morocco)
  • Barabara ya Ali Hassani Mwinyi: Kuanzia makutano ya Morocco hadi Salenda Bridge, maeneo ya fukwe na makutano ya Barabara Kilwa na Mandela (Uhasibu), kuelekea makutano ya Barabara ya Nyerere na Mandela (Tazara)
  • Barabara ya Nyerere: Kuanzia makutano barabara ya Nyerere na Mandela (Tazara) hadi makutano ya Barabara ya Kawawa na Uhuru.
  • Maeneo ya vivutio vya watalii hususan fukwe
  • Barabara zinazotumika kwa ajili ya mapokezi ya wageni (hususan viongozi) wa nje ya nchi: Barabara ya Nyerere kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Barabara ya Mwai Kibaki hadi Hoteli ya Whitesands kupitia Barabara ya Mbezi Chini.
  • Barabara ya Morogoro na Barabara zote za Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dar es Salaam Rapid Transit(DART)

Madhumuni ya mpango huo ni kuwa na usimamizi madhubuti wa sheria, kanuni na taratibu za uendashaji miji ili kuliondoa Jiji katika changamoto za muda mrefu zinazosababishwa na uchafu. Jambo la msingi zaidi ni kwamba eneo hili litawekwa miundombinu madhubuti itakayorahisisha utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kutokomeza magonjwa ya mlipuko yanayoathiri maisha na maendeleo ya wakazi wa Dar es Salaam.


Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Bajeti wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji February 18, 2019
  • Tangazo la Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya kujadili taarifa za robo ya kwanza ya mwaka 2018/2019 January 10, 2019
  • Matokeo ya Usaili wa Vitendo kwa Waombaji wa Kazi ya Udereva January 02, 2019
  • Matokeo ya Usaili wa Maandishi kwa Waombaji wa Kazi ya Katibu Mahsusi December 29, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Madiwani Jiji watembelea eneo la mradi wa ujenzi wa dampo la Kigamboni

    February 11, 2019
  • Naibu Waziri Aziagiza Taasisi za Umma Kuzingatia Viwango na Miongozo ya Usalama wa Mifumo ya TEHAMA

    February 02, 2019
  • Jiji Dar kuongozwa na Manaibu Meya wawili kwa awamu

    December 07, 2018
  • Waziri Lukuvi afunga Ofisi za Ardhi Jiji la Dar es Salaam

    November 29, 2018
  • Angalia zote

Video

Mstahiki Meya Mwita akihamasisha wananchi katika Siku ya Usafi Duniani
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Wananchi

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 9084

    Simu ya mezani: +255 22 2123551

    Namba ya Mkononi: 0715046974

    Barua Pepe: cd@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.