• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono

Kijiji cha Makumbusho

Kijiji cha Makumbusho kilichopo pembezoni ya barabara ya Ally Hassan Mwinyi nje kidogo ya Jiji kilianzishwa mwaka 1996 kwa lengo la kuhifadhi na kuonesha tamaduni mbalimbali za makabila ya Watanzania.


Makumbusho haya yamehifadhi na kuonesha namna yalivyo makazi mbalimbali ya Watanzania kote nchini na pia hutoa fursa kwa wageni kusikiliza ngoma za asili kutoka makabila tofauti tofauti.


Kutembelea Kijiji cha Makumbusho ni sawa na kuitembelea Tanzania nzima ndani ya muda mfupi, kwa kuweza kuona na kujifunza juu ya tamaduni za makabila mbalimbali yaliyopo Tanzania.
Wageni na wenyeji pia wanapata fursa ya kula vyakula mbalimbali vya asili na kuburudika na ladha yake murua, pamoja na wasaa wa kufanya manunuzi ya bidhaa tofauti tofauti za kiutamaduni.

Nyumba za asili katika Kijiji cha Makumbusho

Nyerere Cultural Centre


A place to see artists at work and to discover the secrets of their unique, traditional and cultural heritage found very conveniently in Dar es Salaam Ohio street close to Movenpick Hotel. Live traditional dances performances are played every Friday. The traditional dances are a product of the training and instrument making from Simba Theatre Arts International, Super Kamambe and Sisi Tambala.
The centre welcomes visitors to the cultural hospitality and diverse traditional experience of the city and indeed Tanzania and more especially Dar es Salaam City.

Nyumba ya Sanaa

Mwenge Carvers’ Market

Just on the outskirts of the city, on the road to Bagamoyo, 45 minutes drive from the City Centre, is a lively African artisan market commonly referred to as the Mwenge Carvers’ Market. Established in 1984, the centre has grown to house members of the Tanzanian Carvers’ Association. The market is made up of small shops and stands displaying and selling not only carvings but also traditional dresses, kanga, vikoni and tinga tinga paintings.

Carvings are carved from Africa black wood, neem tree, and mahogany. An entire community of friendly carvers and painters are on-site, busily working and creating. Seeing how the carvings are made and having a chance to talk to the artists about their life and the environment in general encouraged. For all your arts and craft shopping, Mwenge is the solution.

Carvings at Mwenge Market

Matangazo

  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2022 January 04, 2023
  • Taarifa kwa Umma kuhusu Wanafunzi kuripoti shuleni mwaka 2023 January 12, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2022 January 29, 2023
  • TANGAZO DHIDI YA UTAPELI WA AJIRA July 20, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Ilala Awataka Wananchi Kupanda Miti Kwa Wingi

    March 29, 2023
  • Idara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wafanya mafunzo ya namna ya Utendaji kazi katika Idara hiyo Mpya

    March 29, 2023
  • Wazazi na Walezi watakiwa kuwapa Watoto Mlo Kamili

    March 29, 2023
  • Waziri Mkuu awataka Maafisa Habari Nchini kutekeleza wajibu wao

    March 27, 2023
  • Angalia zote

Video

NAPA
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 2128800

    Namba ya Mkononi: 0713614364

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.