• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Ziara ya mafunzo katika Mji wa Strangnas nchini Sweden

Posted on: May 2nd, 2017

Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika picha ya pamoja na wenyeviti wa kamati za kudumu za Manispaa ya  Strängnäs baada ya mkutano wao uliofanyika Aprili 3, 2017 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Strängnäs. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Watoto na Elimu, Maria Ehrnfeldt, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Ingrid Fäldt, Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Monica Lindell Rylen, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sipora Liana, Mwenyekiti wa Manispaa ya  Strängnäs, Jacob Hogfeldt,  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kigamboni, Maabad Hoja, Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi na Miundombinu, Sixten Skullman na mratibu wa mradi wa mawasiliano wa “Youth  Democracy”, Helena Edvisson.

Manispaa ya Strängnäs (Strängnäs kommun) nchini Sweden katika Jimbo la Södermanland, kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA), ilitoa mwaliko kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kushiriki katika mafunzo nchini Sweden yaliyohusu “Exchange Program: Municipal Partnership” kwa lengo la kujifunza mafanikio ya mji wa Strängnäs katika mfumo wake wa elimu unaowashirikisha wanafunzi na vijana ambao  wapo katika shule za awali, shule za msingi na sekondari katika kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo ya mji wa Strängnäs kupitia mabaraza ya wanafunzi/vijana ikiwa ni pamoja na kuwaandaa kuwa viongozi wa nafasi mbalimbali chini ya mradi wa “Youth Democracy”.

Manispaa ya Strängnäs yenye wakazi 34,000 imeonesha nia ya kushirikiana na Jiji la Dar es Salaam kujengea uwezo vijana na kuendeleza vipaji vyao katika shule za awali, msingi na sekondari kwa kuanzisha mabaraza ya wanafunzi/vijana(Pupils/Youth Councils) chini ya mradi wa “Youth Democracy” kwa ufadhili wa SIDA. Mafunzo hayo ni hatua ya mwanzo “inception phase” yaliyokuwa na lengo la kuiwezesha Dar es Salaam kupata uelewa wa dhana ya “Youth Democracy” na kufanya maandalizi ya utekelezaji wake.


Menejimenti ya Manispaa ya Strängnäs ikijadiliana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Bi. Sipora Liana, katika mkutano uliofanyika Aprili 1, 2017 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Strängnäs kuhusu utekelezaji wa mradi wa “Youth Democracy” katika Jiji la Dar es Salaam


Ujumbe wa Dar es Salaam ukipokea maelezo kutoka kwa mmoja wa walimu wa sanaa na utamaduni wa chuo cha utamaduni cha Manispaa ya Strängnäs nchini Sweden wakati wa ziara yao ya mafunzo

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.