Wananchi/wadau wote ambao wanapokea huduma kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wanaweza kutoa maoni/mapendekezo ya kuboresha huduma/kero au malalamiko yanayohusiana na huduma hizo kupitia sanduku la maoni lililopo karibu na mbao za matangazo ndani ya geti kubwa la kuingilia ofisi za Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam zilizopo makutano ya barabara ya Sokoine na Morogoro.
Kero/maoni au mapendekezo hayo yanaweza kuwasilishwa popote pale ndani na nje ya nchi kwa kutumia huduma ya intaneti kwa kupitia tovuti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa anuani ifuatayo malalamiko.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 9084
Simu ya mezani: +255 22 2123346
Namba ya Mkononi: 0715046974
Barua Pepe: cd@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.