• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

UFUNGUZI WA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI, JIJI LA DSM WAFANYA USAFI ZAHANATI YA VINGUNGUTI

Tarehe iliyowekwa: June 1st, 2021

Na: Hashim Jumbe

TAREHE 5 Juni, 2021 Watanzania tutaungana na Nchi mbalimbali Duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliamuliwa na Baraza la Umoja wa Mataifa la mwaka 1972, wakati wa mkutano wa kwanza wa Umoja wa Mataifa uliohusu Mazingira huko Stockholm, nchini Sweden.

Kuelekea Siku ya Mazingira Duniani, ambayo itakuwa ni tarehe 05 Juni, 2021 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo wamefanya usafi katika Zahanati ya Vingunguti ikiwa ni Siku ya kwanza ya ufunguzi wa wiki ya mazingira iliyoanza leo tarehe 01 Juni, 2021 na itaendelea mpaka siku ya kilele ambayo ndiyo itakuwa Siku ya Mazingira Duniani.

Itakumbukwa kuwa, dhumuni kuu la maadhimisho haya ya Siku ya Mazingira Duniani ni kuhamasisha Jamii zetu kuelewa masuala yanayohusu Mazingira na pia kuwahamasisha Watu kuwa mstari wa mbele katika kuchukua hatua za uhifadhi na kulinda mazingira "Wilaya ya Ilala inatoa wito kwa kila Mwananchi kushiriki kwenye shughuli za usafi na uhifadhi wa Mazingira kwa kupanda miti na kusafisha Mazingira ya maeneo yao ya majumbani na mitaa wanayoishi" Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija, akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari

Kwa mwaka huu wa 2021, kaulimbiu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira ni 'Tutumie nishati mbadala kuongoa mfumo ikolojia' Kaulimbiu hii inahimiza juu ya mustakabali wa Afya na Usalama wetu utategemeana na kiwango cha uwekezaji tunachofanya kwenye usimamizi na uhifadhi wa mazingira yetu.

Aidha, kwa wiki hii ya Mazingira Duniani, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imepanga  kufanya usafi na uhamasishaji wa utunzaji wa Mazingira katika Zahanati ya Vingunguti, Kutoa elimu ya utunzaji wa Mazingira kwa Shule za Msingi Kumi (10) kufanya usafi na kuhamasisha utunzaji wa Mazingira katika Mfereji wa Buguruni Malapa, kupanda miti na kuhamasisha upandaji wa miti, bonanza la michezo na mwisho itakuwa ni kilele cha Maadhimisho yatakayoambatana na maonesho ya wadau mbalimbali wa utunzaji wa Mazingira, kilele kitakuwa Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Matangazo

  • Bajeti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 June 14, 2023
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili wa kuandika (Mtendaji wa Mtaa) September 19, 2023
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Mkataba October 20, 2023
  • TANGAZO DHIDI YA UTAPELI WA AJIRA July 20, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Waziri Mchengerwa awataka viongozi kusimamia vizuri na kulinda maslahi ya Walimu na Watumishi wote

    November 27, 2023
  • Uhusiano kati ya Jiji la DSM na Hamburg wazidi kuimarika

    November 27, 2023
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wahimizwa kupanda miti kwa wingi

    November 25, 2023
  • Waziri Mhagama awataka TARURA kuimarisha Kivuko cha Mwanagati-Magole

    November 22, 2023
  • Angalia zote

Video

NAPA
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 2128800

    Namba ya Mkononi:

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.