• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Halmshauri ya Jiji la DSM yafanya mafunzo na maonesho ya mama lishe

Posted on: March 22nd, 2024

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam  kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Benki ya NMB Leo tarehe 22 Machi, 2024 imefanya mafunzo  na maonyesho kwa mama lishe wa Wilaya ya ilala, katika viwanja vya Karimjee yenye kaulimbiu ya “Wekeza katika nishati safi ya kupikia na mazingira“ yaliyolenga kuwajengea uwezo katika uandaaji wa chakula salama kwa walaji na kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala ya gesi lengo ikiwa ni utunzaji wa mazingira.

Akiongea na mama lishe katika mafunzo hayo Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amesema "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekua mstari ya mbele katika kusisitiza swala zima la utunzaji wa mazingira kwa kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala ya gesi hivyo tumuunge mkono katika jambo hili kwa kuacha matumizi ya kuni na mkaa. Pia tutunze na kuboresha mazingira tunayofanyia biashara kwa kuyafanyia usafi kwa usalama wenu na wateja wenu."

Sambamba na hilo Mhe. Mpogolo amewashukuru mama lishe na baba lishe kwa kazi ngumu na nzuri wanayoifanya ya kuwahudumia wananchi wa Ilala “Ninyi ni watu muhimu sana katika Wilaya yetu, wananchi wanaokuja mjini kwaajili ya kujipatia riziki nyakati za mchana ni wengi na wanahitaji chakula wanapokua kwenye majukumu yao, asilimia kubwa ninyi ndio mnaowahudumia hivyo niwapongeze kwa kazi nzuri na ngumu ya kuwahudumia wananchi."

Aidha, Afisa Lishe wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Neema Mwakasege amewasisitiza mama lishe kupika vyakula vyao kwa kuzingatia Lishe Bora inayozingatia makundi 6 ya vyakula ili kuepukana na magonjwa yasioambukiza.

Mafunzo hayo yaliliambatana  utoaji wa zawadi kwa mama lishe waliofanya vizuri katika swala zima la usafi  na uandaaji wa chakula ili kutoa motisha kwa mama na baba lishe wengine. -Zawadi zilizotolewa ni mitungi ya gesi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZA WAPIGA KURA UCHAGUZI MKUU 2025 October 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 11, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 19, 2025
  • View All

Latest News

  • Jiji la DSM lashiriki Maonesho ya 25 ya Wajasiriamali nchini Kenya

    November 15, 2025
  • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana yapokea gari la kubebea wagonjwa na vifaa tiba

    October 21, 2025
  • Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ataka vijana kupewa nafasi

    October 10, 2025
  • Taasisi ya CRDB Bank Foundation yakabidhi pikipiki na bajaji kwa vikundi vya wanawake na vijana

    October 04, 2025
  • View All

Video

WAJASIRIAMALI TOKA HALMASHAURI YA JIJI LA DSM WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAWEZESHA KUSHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA KATIKA MJI WA YIWU NCHINI CHINA
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.