Posted on: February 19th, 2026
Na: Doina Mwambagi
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam itaendelea kufanya kazi na wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
Posted on: February 18th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema kuwa makusanyo ya mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam yanaendelea kuwa chachu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, hususan...
Posted on: February 18th, 2026
Na: Shalua Mpanda
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ndugu Elihuruma Mabelya amesema wamejipanga kuhakikisha walimu wanapata maslahi yao yakiwemo madeni wanayodai kwa muda mrefu.
...