Sunday 22nd, December 2024
@Viwanja vya Mnazi Mmoja
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo anawakaribisha Wananchi wote kuhudhuria katika Hafla ya Utoaji wa Mikopo ya 10% ya Mapato ya Ndani kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu itakayofanyika tarehe 07/03/2023 kuanzia saa mbili kamili asubuhi katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mgeni Rasmi katika hafla hii atakua ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla
Wote mnakaribishwa.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.