• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

"Hatutawavulimia Wakandarasi wazembe, tutaendelea kuwaamini wazawa" - DC Mpogolo

Tarehe iliyowekwa: February 19th, 2026

Na: Doina Mwambagi

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam itaendelea kufanya kazi na wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, ili kukuza uchumi wa ndani na kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa miradi ya Serikali.

Amesema hayo leo tarehe 17 Februari 2026 katika hafla ya makabidhiano ya mradi wa madarasa ya Kidato cha Tano na Sita yenye lift katika shule ya sekondari Bonyokwa , kati ya Mkandarasi Platinum na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, ilofanyika katika shule hiyo.

Akizungumza katika hafla hiyo Mheshimiwa Mpogolo ameonya kuwa Serikali haitawavumilia wakandarasi wazembe watakaokwaza juhudi za maendeleo, huku akisisitiza kuwa itaendelea kuwaamini na kuwapa nafasi wakandarasi wazawa wenye uwezo na wanaotekeleza miradi kwa ubora unaotakiwa.

“Nawataka wakandarasi wajifunze kupitia miradi iliyokamilika na kuzingatia viwango vya ubora vinavyotakiwa. Halmashauri ya Jiji la dar es salaam itaendelea kuwapa kipaumbele wakandarasi wazawa kwa lengo la kuwainua kiuchumi, lakini hatutawavumilia wakandarasi watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao kwa wakati au kwa ubora unaokubalika,” amesema Mheshimiwa Mpogolo.

Aidha, Mheshimiwa Mpogolo amesema dhamira ya Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira bora ya ufundishaji na ujifunzaji ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Ameeleza kuwa ujenzi wa madarasa ya kisasa yenye miundombinu rafiki ikiwemo lift ni kielelezo cha namna Serikali inavyoendelea kuwekeza katika elimu kwa vitendo.

Pia amewaasa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bonyokwa kuyatunza madarasa hayo mapya ili yaweze kuwanufaisha wao na vizazi vijavyo, akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha miundombinu hiyo inalindwa na kutumika ipasavyo kwa manufaa ya taifa

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA: KUPELEKWA KWA FEDHA KWA AJILI YA UKAMILISHAJI WA SOKO LA TABATA MUSLIMU February 09, 2026
  • TAARIFA KWA UMMA: KUPELEKWA KWA FEDHA KWA AJILI YA UKAMILISHAJI WA KITUO CHA AFYA BUYUNI February 03, 2026
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Hatutawavulimia Wakandarasi wazembe, tutaendelea kuwaamini wazawa" - DC Mpogolo

    February 19, 2026
  • Makusanyo ya Mapato Jiji la DSM yaendelea kuchochea Miradi ya Maendeleo

    February 18, 2026
  • "Tumejipanga kuhakikisha walimu wanapata maslahi yao" - Mkurugenzi Mabelya

    February 18, 2026
  • Meya wa Jiji la Itsandra aendelea na ziara ya kikazi Jiji la DSM

    February 09, 2026
  • Angalia zote

Video

UJENZI SHULE YA SEKONDARI KITUNDA RELINI KUKAMILIKA KABLA YA WAKATI
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.