• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Jiji la DSM kuanza kampeni ya utoaji dawa kinga ya matende na mabusha

Tarehe iliyowekwa: November 18th, 2022

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inakusudia kuwafikia wakazi zaidi ya Milioni Moja ambao watapata dawakinga kwa ajili ya kudhibiti ugonjwa wa Matende na mabusha katika Kata 36 na mitaa 256 ya Jiji Hilo. Hayo yamebainishwa leo Novemba 18, 2022 katika kikao kazi cha mpango wa kutoa dawa kinga kwa ajili ya kudhibiti ugonjwa wa matende na Mabusha kilichofanyika katika ukumbi wa Mganga Mkuu wa Jiji la Dar es Salaam.

Kikao hicho kilichohudhuriwa na wataalamu mbalimbali kutoka Wizara ya Afya kililenga kutoa elimu kwa Madaktari wa Jiji la Dar es Salaam ili waweze kuanza kampeni ya kutoa chanjo hiyo mapema kwa Wananchi wa Jiji hilo.

Akiongea kwenye kikao kazi cha mpango wa kuanza kutoa dawakinga Kwa ajili ya kudhibiti ugonjwa wa Matende na mabusha Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Bibi. Charangwa Selemamn amesema Ilala itawafikia zaidi ya Wakazi Milioni 1.2  katika zoezi litakaloanza Novemba 21-25 mwaka huu.

“Niwatoe wasiwasi wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kuwa chanjo hii haina madhara yoyote hivyo msiogope kujitokeza kupata dawa kinga kwaajili ya magonjwa haya hivyo nitoe wito kwa wananchi wa kata zote na mitaa yote na Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kupata dawa hizo ili tuweze kupunguza madhara yatakayokuja kujitokeza badae". Amesema Bibi Charangwa .

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Jiji la Dar es Salaam Dr. Elizabeth Nyema amesema dawakinga hizo hazina madhara hivyo amewasihi wakazi wa Ilala kuhakikisha wanameza dawa hizo ili kuzuia matende na mabusha.

"Niwahakikishie tuu mtakua salama kwanj dawa hizi hazina madharayoyote na hata hivyo dawakinga hizo zitatolewa Kwa wenye umri kuanzia miaka mitano na kuendelea ila hazitatolewa Kwa wanawake wajawazito pia Kwa kina mama wanaonyonyesha."

Sambamba na hilo Dr. Nyema ameendelea kusema ugonjwa wa matende na mabusha husababishwa na mbu hivyo tutatoa dawakinga hizo kwa kupita nyumba kwa nyumba, maeneo ya stendi  pamoja na shule takribani 110 pia tutatoa elimu kwa walimu 110 ili waweze kuwaelimisha wanafunzi waweze kupata kinga hiyo.

Matangazo

  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2022 January 04, 2023
  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2022 January 04, 2023
  • Taarifa kwa Umma kuhusu Wanafunzi kuripoti shuleni mwaka 2023 January 12, 2023
  • TANGAZO DHIDI YA UTAPELI WA AJIRA July 20, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Naibu Meya Jiji la DSM azindua jengo la Ofisi ya Kata ya Mzinga

    January 27, 2023
  • Bodi ya Afya ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam yawataka wakandarasi kukamilisha mifumo ya umeme na maji kwa wakati

    January 26, 2023
  • Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Ilala yaipongeza Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kuweka mikakati mizuri ya kulinda haki za Watoto

    January 23, 2023
  • Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala watembelea Idara ya Afya Jiji la DSM

    January 19, 2023
  • Angalia zote

Video

NAPA
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 2128800

    Namba ya Mkononi: 0713614364

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.