• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Wilaya ya Ilala Wapewa Elimu ya Muongozo Mpya wa utoaji Mikopo ya Asilimia 10%

Tarehe iliyowekwa: October 15th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Illala Mhe. Edward Mpogolo   amewataka Viongozi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Wilaya ya Ilala kuhakikisha wanakua mstari wa mbele kuwaelimisha wanawake kuhusu muongozo mpya wa utoaji wa mikopo.

Mhe. Mpogolo ameyasema hayo leo Oktoba 15, 2024 wakati wa kikao cha viongozi wa majukwaa kwa Kata 36 za Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kilichofanyika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam kikiwa na lengo la kutoa elimu ya muongozo mpya wa utoaji mikopo pamoja na uhamasishaji wa kujiandikisha na kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024.

Akiongea na viongozi hao, Mhe. Mpogolo amewahimiza viongozi hao kuhakikisha elimu wanayopewa wanaenda kuelimisha wananchi huku akiwataka wawe makini katika kusimamia vikundi na wasianzishe vikundi vipya kwani nikinyume na sheria na ikibainika wamefanya ivyo hatua za kisheria zitachukuliwa.

"Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inatekeleza agizo la Serikali la kuhakikisha  viongozi wote wanaosimamia vikundi vya mikopo  wanapatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo katika utoaji na usimamizi wa mikopo kwa kutumia mfumo mpya hivyo ninyi kama viongozi wa majukwaa mnatakiwa kuwaelimisha wananchi hususani wanawake kutumia fursa hii katika kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi kwani mikopo ya awamu hii inatolewa kuanzia laki tano hivyo haya wafanyabiashara ndogondogo wanafursa yakupata mikopo hii hivyo ni imani yangu mtawawlimisha vyema na hamtafanya kazi kinyume na sheria." Ameeleza Mhe. Mpogolo.

Halikadhalika, Mhe. Mpogolo amewahimiza viongozi hao kuhakikisha wanajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura la uchaguzi wa Serikali za Mitaa Oktoba 11 na linahitimishwa Oktoba 20, 2024 ili waweze kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa ifikapo Novemba 27, 2024.

Awali Akitoa Mafunzo kwa wananchama hao Mratibu wa dawati la uwezeshaji wananchi kiuchumi Halmshauri ya Jiji la DSM Bi. Georges Asenga wanachama hao amesema mafunzo ya muongozo mpya wa utoaji na usimamizi wa mikopo kwa njia ya benki huku akiwasisitiza viongozi wa Jukwaa hilo kuhakikisha wanakua makini katika kuomba mikopo pamoja na kuhakikisha wanawaelimisha wananchi kuchukua mikopo kulingana na biashara zao ili kuepuka usumbufu wakati wa Marejesho.

Sambamba na hilo, Bi. Asenga amemshukuu Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kurudisha mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu kwakua mikopo hiyo itakua chachu ya kuwakwamua wananchi kiuchumi huku akitoa wito kwa wananchi kutumia fursa hii kuweza kujitokeza katika mafunzo ya utoaji wa elimu ili waweze kuwa na uelewa na hatimaye kutengeneza vikundi na kupata mikopo isiyo na riba itakayo waondoa kwenye wimbi la umaskini.

Naye Mwenyekiti wa Jukwaa la uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Wilayabya Ilala Bi. Rehema Sanga ametoa shukrani zake kwa kupatiwa elimu hiyo huku akimuhakikishia Mkuu wa Wilaya kutekeleza yale yote aliyowaelekeza.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.