• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
  • Pangisha

Kamati ya Ukaguzi wa Miradi ya Mkoa yatembelea miradi ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Tarehe iliyowekwa: August 29th, 2018

Kamati ya Ukaguzi wa Miradi ya Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 29 Agosti, 2018 imefanya ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kukagua utekelezaji wa miradi hiyo jijini Dar es Salaam.

Miradi iliyotembelewa na Kamati hiyo ni; Mradi wa choo cha umma cha kulipia kilichopo katika Soko la Ilala Boma (DRIMP), ujenzi wa miundombinu ya viwanda vidogo vidogo awamu ya pili ambayo inahusisha ujenzi wa mgahawa, vyoo vya umma na maduka ya biashara katika eneo la Mwananyamala jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha wajasiriamali kuboresha ustawi wa maisha yao.

Kamati pia imekagua ujenzi wa madarasa 7, vyoo na ofisi ya walimu katika shule ya Sekondari ya Benjamin William Mkapa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi kupata elimu katika mazingira rafiki ya kujifunzia.

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inaendelea kuboresha miundombinu ya huduma mbalimbali ili kuweza kutoa huduma bora kwa wakazi wote jijini Dar es Salaam.

Matangazo

  • Tangazo la upangishaji eneo la wazi katika jengo DCC Business Park (Machinga Complex) February 18, 2021
  • Orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili utakaofanyika Karakana ya Mwananyamala tarehe 16 Februari, 2021 kwa nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru wa maegesho yasiyo rasmi "Wrong Parking" February 15, 2021
  • Orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili utakaofanyika Karakana ya Mwananyamala tarehe 19 Februari, 2021 kwa nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru February 15, 2021
  • Orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili utakaofanyika Karakana ya Mwananyamala tarehe 17 Februari, 2021 kwa nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru February 15, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge atangaza kuanza huduma Kituo Kikuu kipya cha mabasi eneo la Mbezi Luis

    February 18, 2021
  • Madiwani Jiji wakagua maendeleo ya ujenzi mradi wa Kituo Kikuu cha Mabasi eneo la Mbezi Luis

    January 27, 2021
  • Kituo kipya cha mabasi Mbezi Luis kuanza kutumika muda wowote kuanzia sasa, Waziri Jafo apongeza uongozi wa mkoa Dar es Salaam kwa usimamizi thabiti

    January 25, 2021
  • Waheshimiwa Madiwani Jiji Wapewa Mafunzo Elekezi

    January 07, 2021
  • Angalia zote

Video

Omary Matulanga achaguliwa kuwa Mstahiki Meya Jiji la Dar es Saaam
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Wananchi

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 9084

    Simu ya mezani: +255 22 2123346

    Namba ya Mkononi: 0715046974

    Barua Pepe: cd@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.