• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Ukaguzi wa mafunzo kazi ya utengenezaji na usimamizi wa tovuti za Serikali

Tarehe iliyowekwa: March 25th, 2017

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas, akiongozana na Mkurugenzi msaidizi wa miundombinu ya TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Bw. Baltazar Kibola amekagua mafunzo kazi yanayotolewa kwa Maofisa Habari na Maafisa TEHAMA kutoka mikoa na Halmashauri za mikoa ya Dodoma, Singida, Iringa, Geita, Pwani, Manyara na Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Royal Village mkoani Dodoma.

Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na Wakala ya Serikali Mtandao wamesanifu Mfumo wa pamoja utakaosaidia kutengeneza na kusimamia tovuti za Serikali ambazo zitakuwa na kiwango na muonekano mmoja ambao ni rahisi wakati wa kufanya maboresho.

Lengo la mafunzo kazi hayo ni kuwajengea uwezo Maofisa Habari na TEHAMA ili taarifa mbalimbali zinazohusu Serikali ziweze kuwafikia wananchi kwa usahihi na kwa wakati. Dkt. Hassan Abbas ameweka wazi sifa tano za Maofisa Habari na TEHAMA wa Serikali kwa nyakati hizi kuwa ni:

  1. Kuwa na ufanisi katika kazi na kujituma katika kutangaza taarifa mbalimbali za mafanikio na huduma zinazotolewa na Serikali kwa wananchi
  2. Kuwa wabunifu kwa kutumia fursa za TEHAMA katika kutangaza taarifa za maendeleo kwa wananchi
  3. Kuzingatia muda kwa kuhakikisha kwamba taarifa sahihi zinapatikana kwa wakati sahihi
  4. Kufanya kazi kwa ushirikiano
  5. Kuwa wazalendo kwa kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kutangaza taarifa za maendeleo na mafanikio ya Serikali kwa wananchi.

Dkt. Hassan Abbas amesisitiza kwamba Maafisa habari wa Serikali kote nchini moja ya vigezo vitakavyo tumika kuwapima katika utendaji wao wa kazi ni pamoja na upatikanaji wa taarifa mbalimbali zilizohuishwa katika tovuti zao.

Washiriki wa mafunzo hayo wameipongeza Serikali na Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa kuwawezesha kupata ujuzi na stadi mpya za utengenezaji na uendeshaji wa tovuti za Serikali.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.