• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Wamiliki wa Day Care wapewa Elimu ya Afya na Ustawi wa Jamii

Tarehe iliyowekwa: September 12th, 2023

Katika kutegeleza Agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango kuwa ndani ya siku 90 Halmashauri zihakikishe zinatambua Day Care zote zilizokidhi vigezo vya ubora na ambazo hazijakidhi vigezo zifungiwe, hivyo katika kutekeleza agizo hilo Halmashauri ya Jiji la  Dar es Salaam kupitia Idara ya Afya divisheni ya Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala leo Septemba 12, 2023 wameandaa mafunzo kwa walezi na wamiliki wa Day Care yenye lengo la kuwapa elimu kuhusu maswala ya lishe, Ustawi wa jamii na afya kwa ajili ya makuzi ya watoto mashuleni ikiwa ninsehemu ya kutekeleza Ilani kama inavyoagiza.

Aidha, Katibu wazazi wilaya ya Ilala Mhe. Mtiti Mbassa Jirabi ameeleza kuwa  “Jumuiya hii ni  chombo kinachoongozwa na Chama cha Mapinduzi yenye majukumu ya kueleza kufafanua na kusimamia kwa ukamilifu utekelezaji wa sera ya malezi kwa watoto na vijana wa Tanzania pamoja na kujishughulisha na maendeleo ya familia na Taifa kwa ujumla kama inavyoelezwa katika kitabu cha ilani kifungu 4 uk (iii) hivyo katika kutekeleza ilani tumefanya mafunzo haya ili kujua ufanisi wa malezi ya watoto katika vituo hivyi na  kuhakikisha utekelezaji wa sera ya malezi kwa watoto pia tukitaka kujua changamoto zinazowakabili walezi na wamiliki wa Day Care hizi hivyo niwaombe Maafisa Ustawi kuhakikisha  tunashikamana na kuwafundisha watoto wetu ili waweze kukua katika utamaduni wa Taifa letu.”

Akiongea katika mafunzo hayo  Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Zeituni Hamza ameeleza  uwepo wa maji safi katika vituo, uwepo wa vyoo safi na salama na usafi wa mazingira na mtu binafsi katika vituo vya kulelea watoto ili kuepukana na magonjwa kwani mazingira bora ni dhana bora katika kuwajengea watoto uwezo wa kufikiri na kupata malezi bora.

"Mmepewa dhamana na jukumu kubwa la  kukaa na watoto wanapokuwa mashuleni hakikisheni mazingira yana kuwa safi na salama japo ulezi sio kitu rahisi sana lakini tuhakikishe tunaitunza dhima ya nchi yetu kuhakikisha watoto wetu wanapata afya na elimu bora."

Kwa upande wake mratibu wa malezi ya watoto Wilaya ya Ilala Bi. Suzan Mdesaameeleza  maswala yambalimbali ya usalama kwa watoto ikiwemo Day care zote kuzungushiwa ukuta ila kuepukana na  ukatili wa kijinsia kwa watoto mashuleni kwa hivyo amewaasa walezi na wasimamizi wa shule kuhakikisha wanazingatia malezi ya watoto hao sambamba na kuhakikisha wazazi wanazingatia kuzungumza na watoto mara kwa mara ili kujua endapo kuna changamoto zinazowakabili.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.