• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Ziara ya Mhe. George Simbachawene (Mb) katika vitega uchumi vya Halmashauri ya Jiji

Tarehe iliyowekwa: May 26th, 2017

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene (Mb) leo tarehe 26 Mei, 2017 akiwa ameongozana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mhe. Isaya Mwita Charles, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Sipora J. Liana pamoja na timu yake ya Menejimenti amefanya ziara ya kutembelea vitega uchumi vya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam vya Shirika la Masoko Kariakoo na Shirika la Uchumi la Jiji la Dar es Salaam(DDC).

Mhe. Waziri alipokea taarifa za utekelezaji na changamoto mbalimbali kutoka katika mashirika tajwa na kuagiza yafuatayo:

  1. Utekelezaji wa Sheria ya Bunge Na: 36 ya mwaka 1974 iliyoanzisha Shirika la Masoko Kariakoo kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 1985 ikiwa na madhumuni ya kusimamia uendeshaji wa Soko la Kariakoo na kuanzishwa kwa masoko mengine ndani ya Jiji la Dar es Salaam, kutoza ushuru wa mazao mbalimbali yanayoingia katika Jiji na kusimamia usafi na ulinzi wa masoko yake.
  2. Utekelezaji wa  Sheria Na: 16 iliyoanzisha Shirika la Uchumi la Jiji la Dar es Salaam chini ya Mashirika ya Maendeleo ya Wilaya kwa madhumuni ya kufanya biashara za jumla na rejareja pamoja na uwakala, kufanya biashara ya mahoteli, migahawa, baa na kumbi za burudani, kujenga majengo ya biashara kwa lengo la kupangisha, kuendeleza maeneo ya Shirika.
  3. Ulipaji wa kodi za majengo ya Shirika la Masoko Kariakoo pamoja na Shirika la Uchumi la Jiji la Dar es Salaam viendane na viwango vya sasa vya soko na wananchi na wapangaji waelezwe ili waweze kujiandaa na mabadiliko ambayo lengo lake ni kuboresha huduma mbalimbali zinazotolewa na mashirika hayo ili yawe endelevu.
  4. Taarifa ya historia za mali za mashirika tajwa tangu yanaanzishwa mwaka 1971 ikieleza mali hizo zipo wapi na zina changamoto gani iandaliwe na iwasilishwe ofisini kwake.
  5. Uandaliwe Mpango Mkakati wa Shirika la Masoko Kariakoo pamoja na Shirika la Uchumi la Jiji la Dar es Salaam(DDC).

Mhe. Simbachawene pia amepongeza hatua za kinidhamu zilizochukuliwa kwa watumishi waliobainika kuwa na makosa na kulitaka Shirika la Masoko Kariakoo kubadilika na kuwa na mtazamo mpya badala ya kutegemea kutoza ushuru wa mazao mbalimbali yanayoingia katika Jiji sambamba na kusimamia uanzishwaji wa masoko mengine ndani ya Jiji la Dar es Salaam huku likiwashirikisha wenye hisa(Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Serikali Kuu).

Aidha, Mhe. Simbachawene amesisitiza kwamba Shirika la Uchumi la Jiji la Dar es Salaam(DDC) litafute na kuendeleza maeneo ya kupumzika na burudani pamoja na kujenga kumbi za sherehe na mikutano mbalimbali na kuweza kutoa ajira kwa Watanzania na pia kutekeleza lengo la Sheria iliyolianzisha Shirika hilo.

Mhe. George Simbachawene (Mb) akimsikiliza mfanyabiashara ndani ya Soko la Kariakoo

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.