Tarehe iliyowekwa: August 8th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo, leo tarehe 8 Agosti 2025 ametembelea banda la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki yanayofanyika Mko...
Tarehe iliyowekwa: August 6th, 2025
Na: Doina Mwambagi
Asali ni moja ya vyakula vya asili vinavyotambulika kwa kuongeza afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume. Virutubisho vilivyomo kwenye asali huchochea mzunguko mzuri wa damu, kuima...
Tarehe iliyowekwa: August 4th, 2025
Na: Shalua Mpanda
Kuna usemi usemao, kama unaitaka mali utaipata shambani. Usemi huu unajidhihirisha kwa mkulima wa zao la Pilipili hoho ndugu Samir Farouk mkazi wa Chanika Jijini Dar es salaam.
...